Rais wa Tanzania John Magufuli alianza ziara yake ya kikazi katika nchi jirani ya Kenya Jumatatu. Kwenye ziara hiyo ya siku mbili, Rais Magufuli anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake na pia ...